Julieth jason
New Member
- Sep 19, 2022
- 1
- 0
Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, mi ni mwanafunz ninaechukua kozi ya afya(pharmacy) kwa bahati mbaya sikufanikiwa kufanya mtihani wa nacte mwezi Jana, kutokana na kuugua.
Nikashauriwa na academic niandike barua ya kusitisha semester hili nije nifanye huo mtihani nawa nyuma yangu, au nisubiri mwezi 12 wakati wanaclear sup na Mimi nifanye huo mtihani Kama special examination.
Lakini akanambia madhara ya special examination ikitokea nimeanguka SoMo hata moja no excuse nakuwa nimediscontinue. Nilikuwa naomba kujua Kuna ukweli wowote hapo.