Nini maana ya tofauti hizi za mkopo

samweli charles

New Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1
Reaction score
0
naomba kwa yeyote mwenye uelewa anijuze kuhusu tofauti za mkopo, kwa meals and accomodation inakuaje kwa vyuo kama cuhas, st john coz za afya inafika mil 2.2 wakati coz hiyo hiyo kiu ni mil 1.8, pia kwa coz kama pharmacy ile special faculty requirement ina kazi gani?

Na mbona kiu haipo wakati cuhas ipo? Ela ya field pia coz ni hyo hyo ila wengine hawajapewa na vyuo vingine ipo.Ina maana bum linatofatiana kwa wenye mil 2.2 MA inakuwa zaid kwa wenye 1.8,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…