JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
USAWA: Ni hali ya kuwapatia wananchi wote fursa sawa katika kushiriki kwenye mambo yanayohusu jamii yao.
Usawa katika utendaji unahusisha mambo yafuatayo:
• Kutoa huduma bila ubaguzi au upendeleo wa aina yoyote.
• Kuendesha shughuli za umma bila ubaguzi au upendeleo.
• Kuthamini watu wote bila kujali tofauti zao.
• Kutambua makundi yote katika jamii na kutoa fursa sawa kwa makundi yote katika kuboresha hali zao.
• Kumfanya kila mwanajamii kujiona kuwa yeye ni sehemu ya jamii na pia ana maslahi kwenye jamii yake.
Upvote
0