Nini maana ya usemi huu?

Nini maana ya usemi huu?

Wamnetu

Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
11
Reaction score
4
Marehemu Issa Matona katika wimbo wake mmoja alinena kama hivi: "Sighilibiwi na rangi, tamu ya chai sukari." Je, alikuwa na maana gani?
 
Ana maana kuwa,hadanganyiki na uzuri wa rangi,kwani hata kama chai ina rangi nzuri,pasi na kuwekwa sukari haitoitwa chai,sawa na sharbt bila sukari.
 
Back
Top Bottom