Nini maana ya Uvumba?

Nini maana ya Uvumba?

Uvumba ni ubani
 

Attachments

  • Ubani.jpg
    Ubani.jpg
    438.8 KB · Views: 1
Uvumba au mavumba, ni unga unga wa mti au mizizi ambayo hutumika na waganga wa jadi/kienyeji.
 
Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”.

Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
Uvumba ni kama udi tu pia ! Watu wengine huwa wanachanganya sehemu moja kwenye chetezo kupata harufu nzuri
 
Back
Top Bottom