W Wild Flower JF-Expert Member Joined Jul 20, 2023 Posts 378 Reaction score 766 Mar 2, 2025 #1 Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Mar 2, 2025 #2 Ni moshi au ubani au nakosea eti ephen_ Cc min -me
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 2, 2025 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Kasongo_2024 Member Joined Mar 9, 2024 Posts 40 Reaction score 38 Mar 3, 2025 #4 Uvumba ni ubani Attachments Ubani.jpg 438.8 KB · Views: 1
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 Mar 3, 2025 #5 Uvumba au mavumba, ni unga unga wa mti au mizizi ambayo hutumika na waganga wa jadi/kienyeji.
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Mar 3, 2025 #6 Kasongo_2024 said: Uvumba ni ubani Click to expand... Na Ubani Ni Uvumba?
H Hajbaruan New Member Joined Feb 18, 2025 Posts 3 Reaction score 2 Mar 3, 2025 #7 Wild Flower said: Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu. Click to expand... Uvumba ni kama udi tu pia ! Watu wengine huwa wanachanganya sehemu moja kwenye chetezo kupata harufu nzuri
Wild Flower said: Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu. Click to expand... Uvumba ni kama udi tu pia ! Watu wengine huwa wanachanganya sehemu moja kwenye chetezo kupata harufu nzuri