Nini maana ya Waraga?

Nini maana ya Waraga?

Muulize aliyekuambia...
Halafu urudi hapa na mrejesho.
 
mende 2014 !!Neno "Waraga" kwa KIZANAKI lugha yetu kule UZANAKINI ni mtoto wa mwisho kuzaliwa yaani "KITINDA MIMBA" !!
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mkuu hujakosea,lakin naona kama limetumika kiliga hivi
 
Back
Top Bottom