Nini maana ya yatima?

Nini maana ya yatima?

Hapana huyo si yatima.

Yatima ni mtoto hasa aliyekosa mtu maalumu wa kusimama nyuma yake kama mzazi.

Unaweza ukawa na miaka 20 na ukawa yatima kama duniani huna pa kushikia.

Hiyo miaka 18 ni makadirio ya kibinadamu tu.

Kuna mtoto alifiwa na wazazi wake wote na ule UKIMWI wa zamani huko Njombe baba mdogo don akamchukua akampeleka International schools kampa kazi akiwa chuo kikuu na sasa anafanya kazi huku ana kampuni yake.

Huyu Binti si yatima na hajawahi kuwa yatima maana malezi na huduma alizopewa na baba mdogo ni kubwa na bora kuliko maisha ya kifukara ya marehemu wazazi wake
 
Yatima ni Mtoto ambaye Ajafikia Balekhe Aliye Fiwa Na Baba Yake mzazi huyo ndie Yatima.

Ukifiwa Na Baba Wewe ndiye Yatima, Ila Ukifiwa Na Mama Wewe si Yatima.

Ila Mnyama Akifiwa na Mama Yake huyo ndiye Yatima.

Mnyama Akifiwa na Mama Anakuwa Yatima Kwa Sababu, Dume akisha Mzalisha Jike Hana Habari nae Tena
 
Nyie zungukeni komenti mnavyojua Ila Mimi na miaka yangu hii arobaini kasoro ni yatima na nitabaki yatima forever maana ninalojua wazazi wangekuwepo ningekuwa zangu nyumbani nafurahia matunzo ya baba na mama ,bila shaka hata ajira nisingehangaika nazo.

Rest in peace wazazi wangu wazuri ,mmeniachia ukiwa na uyatima mwanenu 😭😭
 
Yatima ni Mtoto ambaye Ajafikia Balekhe Aliye Fiwa Na Baba Yake mzazi.huyo ndie Yatima.

Ukifiwa Na Baba Wewe ndiye Yatima, Ila Ukifiwa Na Mama Wewe si Yatima.

Ila Mnyama Akifiwa na Mama Yake huyo ndiye Yatima.

Mnyama Akifiwa na Mama Anakuwa Yatima Kwa Sababu, Dume akisha Mzalisha Jike Hana Habari nae Tena
We utakuwa sheikh bila shaka
 
Yatima mtoto aliyeachwa kwa kufiwa au kutelekezwa mazima na wazazi wake, na si lazima awe mtoto, hata akiwa mtu mzima ila ambaye haajjafiikia uwezo wa kujitegemea basi ni yatima.
 
Yatima ni Mtoto ambaye Ajafikia Balekhe Aliye Fiwa Na Baba Yake mzazi huyo ndie Yatima.

Ukifiwa Na Baba Wewe ndiye Yatima, Ila Ukifiwa Na Mama Wewe si Yatima.

Ila Mnyama Akifiwa na Mama Yake huyo ndiye Yatima.

Mnyama Akifiwa na Mama Anakuwa Yatima Kwa Sababu, Dume akisha Mzalisha Jike Hana Habari nae Tena
Kuna mdada amedivorce na mme wake, huwa namsikia anasema "wanangu ni yatima" hii imekaaje?? Wazazi wakitengana watoto wanakua yatima???
 
Hapana huyo si yatima.

Yatima ni mtoto hasa aliyekosa mtu maalumu wa kusimama nyuma yake kama mzazi.

Unaweza ukawa na miaka 20 na ukawa yatima kama duniani huna pa kushikia.

Hiyo miaka 18 ni makadirio ya kibinadamu tu.

Kuna mtoto alifiwa na wazazi wake wote na ule UKIMWI wa zamani huko Njombe baba mdogo don akamchukua akampeleka International schools kampa kazi akiwa chuo kikuu na sasa anafanya kazi huku ana kampuni yake.

Huyu Binti si yatima na hajawahi kuwa yatima maana malezi na huduma alizopewa na baba mdogo ni kubwa na bora kuliko maisha ya kifukara ya marehemu wazazi wake
Hapa sikubaliani na wewe..!! Yatima haina maana ya kukosa huduma..!! Uhudumiwe au usihudumiwe, kitendo cha kufiwa na wazazi wote wawili na huku una umri wa chini ya miaka 18, wewe ni yatima..!!
 
Back
Top Bottom