KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ridhiki mafungu saba??
Kwanini si mafungu 3?4?20?etc.
Kwanini si mafungu 3?4?20?etc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu, hayo ni mambo ya fasihi na simulizi katika lugha yetu tukufu ya kiswahili. Riziki Mafungu saba haimaanishi kuwa riziki kweli ni mafungu saba, hiyo hesabu ya saba inasimama badala ya wingi kwa kiingereza tunaweza sema several...!Ridhiki mafungu saba??
Kwanini si mafungu 3?4?20?etc.