Nini maana yake?

Nini maana yake?

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Let's say mpo online mnachat na girl wako

Akakuuliza "Unaoa lin mpenzi?"

Nawe ukajibu
"Kwanza ybd nijipange wngu....
nipe mda
Then kuna kjtamblsha
Hlf kuna posa
Na ndoa itafuata wngu
Just nvumilie wngu!!
Kila ktakuwa poa wngu"

"Wngu najtahd kila niwezavyo nije kjitamblsha kwenu!!...
Co km xtaki
Nitakuja wngu!!...
Serious"


Then Baada ya text kufika...akareply kwa text ya kicheko kikubwaa

Ana maana gani kucheka??...girls nnaomba muhusike pia
 
Anafurahi siku hiyo atakayokuwa anakupelekwa kwa wakwe zako jombaaaaa

Si unajua Sasa Hivi nadra sana hivyo vitu kutokana Na Vyuma kukaza
 
yaani ulivyoandika tu inaonyesha hata kuoa muda bado malizana kwanza na elimu
 
ulivyondika tu sijakuelewa kabisa kijana/mwanafunzi!!
 
umejitetea sana badala ya kujibu swali kama ilivyo ulizwa... me huwa napenda kujibu swali bila maelezo
 
Back
Top Bottom