Nini maana yake?

Nini maana yake?

Ozee

Member
Joined
May 11, 2011
Posts
31
Reaction score
1
Habari zenu wana jf,MWANAZUONI ni nani/nini? Naomba msaada wenu tafadhali..
Asante.
 
mwanazuoni ni mtu mwenye elimu ya kusomea hasa vyuoni juu ya kitu fulani mf. Mambo ya kale n.k na kwa kawaida ni watu wanaondelea kuelimika siku hadi siku yani elimu yao haina mwisho.
 
Nashukuru,ila sijaelewa vizuri hapa,kwahiyo tukisema MWANAZUONI MKUU tunamzungumzia nani hasa?
 
Back
Top Bottom