Ozee Member Joined May 11, 2011 Posts 31 Reaction score 1 Jul 23, 2011 #1 Habari zenu wana jf,MWANAZUONI ni nani/nini? Naomba msaada wenu tafadhali.. Asante.
FiQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 477 Reaction score 76 Jul 25, 2011 #2 mwanazuoni ni mtu mwenye elimu ya kusomea hasa vyuoni juu ya kitu fulani mf. Mambo ya kale n.k na kwa kawaida ni watu wanaondelea kuelimika siku hadi siku yani elimu yao haina mwisho.
mwanazuoni ni mtu mwenye elimu ya kusomea hasa vyuoni juu ya kitu fulani mf. Mambo ya kale n.k na kwa kawaida ni watu wanaondelea kuelimika siku hadi siku yani elimu yao haina mwisho.
Ozee Member Joined May 11, 2011 Posts 31 Reaction score 1 Jul 27, 2011 Thread starter #3 Nashukuru,ila sijaelewa vizuri hapa,kwahiyo tukisema MWANAZUONI MKUU tunamzungumzia nani hasa?
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,776 Apr 15, 2012 #4 Ozee said: Habari zenu wana jf,MWANAZUONI ni nani/nini? Naomba msaada wenu tafadhali.. Asante. Click to expand... . Mwanazuoni nm wa- a-/wa- scholar. .
Ozee said: Habari zenu wana jf,MWANAZUONI ni nani/nini? Naomba msaada wenu tafadhali.. Asante. Click to expand... . Mwanazuoni nm wa- a-/wa- scholar. .