Duh we noma sanaMkuu OMEGA uko sahii kabisa mi kuna vijana nilisoma na wengine nimekua nao mtaani wao waliona bangi ndio ujanja...sasa shule iliwashinda maisha wamepigika matokeo yake siku ni kunitia mizinga ya buku buku kila siku yahani sina hata amani asubuhi nikiwa naenda job au jioni nikirudi...washikaji tunaringana umri ila wanaanza kukuita bro...ganzi sio kabisa ila ni bora mara mia ya poda
Teh teh teh hatari sanaHuwezi vuta bangi afu ukashindia soda ukabaki sawa
Donts za bangi, ka,a mvutaji.
1. Lazima ule chakula cha kushiba na chenye nguvu
2. Lazima ufanye kazi, kuunguza bangi uloivuta
3. Lazima uweke wazi kwa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mvutaji. Kimtu kinavuta bangi afu hata kwao hawajui kama kinavuta afu kinategemea kibaki sane? Majanga
4. Lazima uwe na ratiba, sio unavuta tuu kama unakunywa chai
5. Ujue historia ya ukoo wenu, kama unaendana na bangi. Koo zingine vichwa panzi, hata wakienda tu high skul wanadata.
6. Lazima ujue stail bora ya usokotaji, na uvutaji. Kuvuta kwa kiko cha maji ni nzuri zaidi.
Saruti mkuu ndio mahana post zako uwa za hekima. Me nimeanza kuvuta bangi mwaka 1998 kipindi icho nimemaliza darasa la saba mpaka leo hii navuta bangi na sijaona madhara yake. Bangi ni nzuri ila sio kwa kila mtuNavuta bangi mwaka wa saba huu....bangi ni poa sana......inanipa raha ya kipekee sana....inanipa utulivu wa akili na mawazo......inanipa hamu ya kupiga kazi kwa bidii kwa maana hiyo nimetimiza malengo yangu mengi sana kupitia bangi..... I LOVE YOU BANGI AND I WILL NEVER LEAVE YOU.......