Nini Madhara ya Chumvi Mwilini?

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811
Hivi kuna madhara yoyote ya chumvi mwilini? Wengine tunapenda kuongeza chumvi kila tunapokula, ila hatujui madhara yake!
 
Kitu chohote ukizidisha lazima kina madhara,
mojawapo ni kutokwa na jasho lenye harufu kali
 
Chumvi ina madini ya Sodium ( Na+) ambayo yanasababisha shinikizo la damu (Hypertension), jamii zinazokula chumvi nyingi zina tatizo kubwa la shinikizo la damu kuliko jamii inayokula chumvi kidogo, unashauriwa kuweka chumvi kidogo jikoni na mezani chakula kisiongezwe chumvi.
 
Asante sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…