Wanajf;
naomba mnisaidie kwa wale wanaofahamu nini madhara ya kula/kutumia sana karanga na korosho? Kwani nimekuwa natumia karanga au korosho zilizokaangwa kila siku. Sasa naomba kwa wale wenye ufahamu; je ni nini madhara ya karanga na korosho kwenye miili yetu?
Nawakilisha.