Korosho zina cholestral nyingi leading to hear disease. Bora utumie almond/lozi not roastef
Korosho zina cholestral nyingi leading to hear disease. Bora utumie almond/lozi not roastef
hii logic ni ya hovyo sana! na wabongo wengi wanaitumia sana kuhalalisha vitu vyenye madhara! eti watu wamekula kwa muda mrefu ndio sababu ya kuendelea kutumia! kwanza bongo matumizi ya vitu vingi yanatudhuru bila kujua! kijijini kwa mfano watu wanakufa na magonjwa ya ajabu bila kujua chanzo coz hakuna wataalamu! mimi ningeshauri forum hii tujitahidi iwezekanavyo kuachia wataalam na wengi tutafaidika! mfano mwingine maeneo ya mjini kina mama wamepata biashara ya miogo mibichi wateja wanaamini kabisa kua inaongeza nguvu za kiume na manii!! but kumbe ina madhara makubwa!kama karanga na korosho noma mbona huko wanakozilima wasife? Watoto wanakula mpaka leo wamekuwa madingi na ma maza nabado afya Pouwa!
hii logic ni ya hovyo sana! na wabongo wengi wanaitumia sana kuhalalisha vitu vyenye madhara! eti watu wamekula kwa muda mrefu ndio sababu ya kuendelea kutumia! kwanza bongo matumizi ya vitu vingi yanatudhuru bila kujua! kijijini kwa mfano watu wanakufa na magonjwa ya ajabu bila kujua chanzo coz hakuna wataalamu! mimi ningeshauri forum hii tujitahidi iwezekanavyo kuachia wataalam na wengi tutafaidika! mfano mwingine maeneo ya mjini kina mama wamepata biashara ya miogo mibichi wateja wanaamini kabisa kua inaongeza nguvu za kiume na manii!! but kumbe ina madhara makubwa!

Duh!..mpaka mihogo mibichi!!..tumekwishakila kitu kina madhara sijui itakuaje.
Mihogo ina athari gani?
Mihogo ikutegemeana na mahali ilipolimwa inaweza kuwa na sumu cyanide. Hii dio sababu haswa wachaga hawali mihogo kwani ule udongo wa kwao wenye volcanic nature una cyanide nyingi. Haswa mihogo mibivhi ni hatari zaidi.