Nini Madhara Ya Kufanya Mapenzi Mara Kwa Mara!

Nini Madhara Ya Kufanya Mapenzi Mara Kwa Mara!

Rajasili

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
117
Reaction score
10
Habarin Za Kaz?kwakweli Mm Nna Tatzo La Kupenda Kuomba Penz Mara Kwa Mara Kwa Mke Wangu,yan Inafika Wakati,kla Siku Lazima Nisex Nae,hakuna Cku Ya Kupumzka Na Nshazoea Bila Kufanya Mapenz Cpat Usingiz,na Huwaga Nafanya Hata Akiwa Ktk Cku Zake, Nini Madhara Ya Kufanya Mapenz Mara Kwa Mara?
 
hadi katika siku zake? ah... umezidi sasa
 
Quran inasema jiepisheni na wanawake wakiw ktk siku za hedhi kwani huo ni uchafu ,
Madhara
1.kuchoka kimwili
2.utazeeka mara moja
3.kukonda na kupata matatizo ya damu
4.kupata busha au kiboga
Nk
 
Kila siku? watu wa namna yako ni wale wanaotumia dakika 10 wameshakojoa na kesho tena dk 10 umekojoa hivyohivyo na utakuta ni mtu wa bao 1 tu yaani huwezi kurudia la pili. Kama kweli ni mtu unamkaza kisawasawa mkeo yaani unakaa kifuani dk 40 au lisaa 1 sidhani kama kesho yake utataka au atataka tena.

Kwa hiyo kwa kifupi una vinyege mshindo na inaonekana hujaoa siku nyingi.

Okay, kuhusu madhara ni kuwa kila bao 1 unalopiga ni sawa na kutembea kwa miguu kilomita 27, bilashaka unachoka sana, utachoka mwili, utaishiwa nguvu, na mwisho utapata ukimwi.
 
Faida za kufanya mapenzi mara kwa ni pamoja na
1. kupunguza stress
2. kusaidia kuzuia magonjwa ya moyo
3. kuongeza kinga ya mwili
4. kupunguza uzito wa mwil
5. kusaidia kujiamini na kujisikia mwenye furaha
6. kuongeza ukaribu au upendo kwa mpenzi wako
7. kupunguza maumivu mwilini yatokanayo na uchovu
8. kuongeza uimara wa maungo yako kwa maana uume/uke kutokana na mzunguko mzuri wa damu
9. kusaidia kupata usingizi mzuri.
10. kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa kibofu cha mkojo kutokana na kutoa manii mara kwa mara kwa watu wa kuanzia miaka 50

Hasara za kufanya mapenzi mara kwa mara
1. uwezekano wa kupata ugonjwa wa kibofu cha mkojo hasaukiwa active katika miaka ya 20 na 30
2. Maabukizo ya magonjwa yatokanayo na bacteria,fungus na viruses kwa watu wasiokuwa wasafi
3. Kupoteza muda
 
Kufanya mapenzi mara kwa mara kunaongezaje kinga ya mwili?. Pia jitahidi badala ya uongeza andika Huongeza.

Faida za kufanya mapenzi mara kwa ma
1. Upunguza stress
2. Usaidia kuzuia magonjwa ya moyo
3. Uongeza kinga ya mwili
4. Upunguza uzito wa mwil
5. Usaidia kujiamini na kujisikia mwenye furaha
6. Uongeza ukaribu au upendo kwa mpenzi wako
7. Upunguza maumivu mwilini yatokanayo na uchovu
8. Uongeza uimara wa maungo yako kwa maana uume/uke kutokana na mzunguko mzuri wa damu
9. Usaidia kupata usingizi mzuri.
10. Upunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa kibofu cha mkojo kutokana na kutoa manii mara kwa mara kwa watu wa kuanzia miaka 50

Hasara za kufanya mapenzi mara kwa mara
1. uwezekano wa kupata ugonjwa wa kibofu cha mkojo hasaukiwa active katika miaka ya 20 na 30
2. Maabukizo ya magonjwa yatokanayo na bacteria,fungus na viruses kwa watu wasiokuwa wasafi
3. Kupoteza muda
 
Kufanya mapenzi mara kwa mara kunaongezaje kinga ya mwili?. Pia jitahidi badala ya uongeza andika Huongeza.
Msamehe!!! siku hizi shule zimekua nyingi hata ukitajiwa majina huwezi kujua hii ni ya mkoa gani. Nimejiuluza sana kwa mtu aliyefanikiwa kumaliza ''angalau darasa la saba'', anaandika

1. Upunguza - badala ya Hupunguza.
2.
Usaidia - badala ya Husaidia.
3. Uongeza - badala ya Huongeza.

Tumejenga madarasa mengi - Politics bwana!!!
 
Mkuu, nimemshamsamehe kabisa na atakuwa amepata somo.

Msamehe!!! siku hizi shule zimekua nyingi hata ukitajiwa majina huwezi kujua hii ni ya mkoa gani. Nimejiuluza sana kwa mtu aliyefanikiwa kumaliza ''angalau darasa la saba'', anaandika

1. Upunguza - badala ya Hupunguza.
2.
Usaidia - badala ya Husaidia.
3. Uongeza - badala ya Huongeza.

Tumejenga madarasa mengi - Politics bwana!!!
 
Eh hapo mpaka akiwa mp jamani? Hiyo hapana
kama wewe huchoki yeye hachoki?
 
Kila siku? watu wa namna yako ni wale wanaotumia dakika 10 wameshakojoa na kesho tena dk 10 umekojoa hivyohivyo na utakuta ni mtu wa bao 1 tu yaani huwezi kurudia la pili. Kama kweli ni mtu unamkaza kisawasawa mkeo yaani unakaa kifuani dk 40 au lisaa 1 sidhani kama kesho yake utataka au atataka tena.

Kwa hiyo kwa kifupi una vinyege mshindo na inaonekana hujaoa siku nyingi.

Okay, kuhusu madhara ni kuwa kila bao 1 unalopiga ni sawa na kutembea kwa miguu kilomita 27, bilashaka unachoka sana, utachoka mwili, utaishiwa nguvu, na mwisho utapata ukimwi.

Umekurupuka sana kujibu huu uzi. Umesema "inaonekana hujaoa siku nyingi" Swali: Suala la kuoa ni tendo linalojirudia kila siku au kila mwezi? Correction: Jamaa amesema hapo juu anafanyaga mapenzi na mke wake. Nadhani kwa sababu ya kukurupuka umeamua kuignore hilo. Soma kimakini mzee.

Sina hakika sana kama bao 1 ni equivalent to 27km of walking.

Anapataje ukimwi kwa kufanya mapenzi na mkewe?

Great thinkers???????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwanza nikueleweshe kidogo. Humu ni jamiiforums, kauli mbiu ya web ni hiyo; ''Home of Great Thinkers''. Lakini siyo wote ni great thinkers kwa sababu humu tumo wote kama jamii, mimi na wewe. Kwahiyo wewe ni GT?.

Ninaposema inaonekana hajaoa siku nyingi simaanishi kuna siku nyingi za kuoa, namaanisha inaonekana si miaka mingi imepita tangu aowe, inaweza kuwa mwaka 1 au 2 na siyo miaka 5 au 10. Nadhani umeelewa.

Mpaka utakapoelewa ukimwi ni nini ndipo utakapojuwa kuwa hata mke 1 unaweza kupata ukimwi ndipo utakapoelewa nimemaanisha nini, ila kwa sababu wewe GT unajuwa ukimwi ni HIV ndiyo maana umekurupuka tena kama kawaida yako.

Unapofanya ngono unatumia nguvu siyo makamasi.

Umekurupuka sana kujibu huu uzi. Umesema "inaonekana hujaoa siku nyingi" Swali: Suala la kuoa ni tendo linalojirudia kila siku au kila mwezi? Correction: Jamaa amesema hapo juu anafanyaga mapenzi na mke wake. Nadhani kwa sababu ya kukurupuka umeamua kuignore hilo. Soma kimakini mzee.

Sina hakika sana kama bao 1 ni equivalent to 27km of walking.

Anapataje ukimwi kwa kufanya mapenzi na mkewe?

Great thinkers???????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Habarin Za Kaz?kwakweli Mm
Nna Tatzo La Kupenda Kuomba Penz Mara Kwa Mara Kwa Mke Wangu,yan
Inafika Wakati,kla Siku Lazima Nisex Nae,hakuna Cku Ya Kupumzka Na
Nshazoea Bila Kufanya Mapenz Cpat Usingiz,na Huwaga Nafanya Hata Akiwa
Ktk Cku Zake, Nini Madhara Ya Kufanya Mapenz Mara Kwa Mara?

Madhara na dalili mojawapo ni sura yako kusawajika na pia sura kukosa uangavu. Hebu jitazame katika kioo. Bila shaka utajiona hivyo ulivyo
 
Habarin Za Kaz?kwakweli Mm Nna Tatzo La Kupenda Kuomba Penz Mara Kwa Mara Kwa Mke Wangu,yan Inafika Wakati,kla Siku Lazima Nisex Nae,hakuna Cku Ya Kupumzka Na Nshazoea Bila Kufanya Mapenz Cpat Usingiz,na Huwaga Nafanya Hata Akiwa Ktk Cku Zake, Nini Madhara Ya Kufanya Mapenz Mara Kwa Mara?
Nataman ningempata mtu kama wewe, japo umezidisha mpaka kwenye mp, mi napenda sana ku sex, ila tatizo mume wangu mtafutaji sana wa pesa, yupo busy sana, akija amechoka, naweza kaa hata wiki 2, bila bila, kusaliti sijawahi na naogopa, ila sometimes natamani hata mtu anikune lakini naogopa, huwa nabaki tu na ugwadu wangu, mkeo ana bahati, sema awe nae anapenda hivo, mbona rahaa,,,
 
Back
Top Bottom