Nini madhara ya kujisafisha ukeni kwa kidole

Nini madhara ya kujisafisha ukeni kwa kidole

hapyepye

Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
34
Reaction score
10
Habari nauliza nimadhara gani unaweza kuyapata ukijisafisha uke kwa kidole kama makungwi wanavyofundisha asante
 
Habari nauliza nimadhara gani unaweza kuyapata ukijisafisha uke kwa kidole kama makungwi wanavyofundisha asante
Hakuna madhara yoyote ndugu yangu,kama unatumiamaji tu,usitumie sabuni au makorokoro mengine huko ndani utadisturb normal flora...
 
Hakuna madhara yoyote ndugu yangu,kama unatumiamaji tu,usitumie sabuni au makorokoro mengine huko ndani utadisturb normal flora...

Pia mwambie ahakikishe kidole ni kisafi, kucha ziwe fupi pia na asisokomeze huko ndani...
 
Wanawake wengi siku uzi hawana ile harufu natural ya k, harufu ile hutia hamasa sana wakati wa tendo, pls acheni kuosha kwa kuingiza midole yenu uko ndani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Douching inaaminika kuwa inasababisha infections (kila mara utasikia uti na kutoa harufu mbaya ama pelvic inflamatory diseases), inaongeza risk ya kupata magonjwa ya zinaa, epictopic pregnancy (mimba kutunga kwenye mirija ya kizazi) na pelvic carcinoma (aina ya kansa ya kizazi) japo Dr wanatakanutafiti ziaidi ufanyike lakini kwa sasa habari ndio hiyo.

Vagina ni self cleansing organ kama hauikamui damu na inatoka inaisha unakaa msafi kwa kipindi muafaka, kwa nini unadhani unahitaji kutoa uchafu kwa kidole? Safisha mashavu hayo ndio yanakuwa na dead cells zinatoa harufu kwa sababu ya unyevu.
 
Pia mwambie ahakikishe kidole ni kisafi, kucha ziwe fupi pia na asisokomeze huko ndani...
Si umeshasema wewe loh...Are you a gynecologist watu8 naona upo sana kwenye post za mambo ya mfumo wa uzazi,matatizo ya wanawake 🙂
 
Wanawake wengi siku uzi hawana ile harufu natural ya k, harufu ile hutia hamasa sana wakati wa tendo, pls achen kuosha kwa kuingiza midole yenu uko ndan.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Usiwapotoshe mkuu!LAZIMA kuwe kusafi.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wengine wanatumia na maji ya vuguvugu kabisa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kitu hiyo imeumbwa kwa matumizi yake maalum why mnaisumbua.
 
Its self cleaning organ, no need of inserting anything in there to clean ni sawa na kumeza mswaki ili usafishe utumbo safisha external organ not internal organ

The truth shall set u free.
 
Douching inaaminika kuwa inasababisha infections (kila mara utasikia uti na kutoa harufu mbaya ama pelvic inflamatory diseases), inaongeza risk ya kupata magonjwa ya zinaa, epictopic pregnancy (mimba kutunga kwenye mirija ya kizazi) na pelvic carcinoma (aina ya kansa ya kizazi). Japo cdc wanatakanutafiti ziaidi ufanyike lakini kwa sasa habari ndio hiyo.

Vagina ni self cleansing organ. Kama hauikamui damu na inatoka inaisha unakaa msafi kwa kipindi muafaka, kwa nini unadhani unahitaji kutoa uchafu kwa kidole? Safisha mashavu hayo ndio yanakuwa na dead cells zinatoa harufu kwa sababu ya unyevu.

Huo dio ukweli waache kosha ndani na huku kwa nje waoshe kwa maji masafi tu.
 
Douching inaaminika kuwa inasababisha infections (kila mara utasikia uti na kutoa harufu mbaya ama pelvic inflamatory diseases), inaongeza risk ya kupata magonjwa ya zinaa, epictopic pregnancy (mimba kutunga kwenye mirija ya kizazi) na pelvic carcinoma (aina ya kansa ya kizazi). Japo cdc wanatakanutafiti ziaidi ufanyike lakini kwa sasa habari ndio hiyo.

Vagina ni self cleansing organ. Kama hauikamui damu na inatoka inaisha unakaa msafi kwa kipindi muafaka, kwa nini unadhani unahitaji kutoa uchafu kwa kidole? Safisha mashavu hayo ndio yanakuwa na dead cells zinatoa harufu kwa sababu ya unyevu.
my dearest shule za mtaani ni mbaya sana, hasa kutoka kwa watu ambao wao wanaish kwa hisia tu bila kuwa na uhakika. Makungwi walituaminisha kwamba uke lazima usafishwe kwa kaidole cha kati wao wakidhani ndio usafi na ya kwamba utoko ni uchafu.

baada ya kukua na kusoma, elimu ya viumbe hai niligundua kwamba walitudanganya na ukweli hakuna sababu yyte ya mtu kuingiza chcohote ndani ya uke wake isipokuwa uume tu.

ikumbukwe kwamba maji tunayoogea hayako sterile kivile so kuyaingiza ukeni una ongeza possibilities za contamination, and hence infections. ukichunguza kwa umakini hebu mleta mada ajiulize kwanini haoshi jicho kama jicho ndani licha ya kuwa liko open kuliko uke?? ama je kwanin haoshi maskio kwa ndani ama pua??

simply ni kwamba secretions zitokazo maeneo haya husafisha haya maeneo na kuyafanya kuwa clean and sterile na hata kama dr anataka kuyagysa hulazimika kuhakikisha kwamba sterility imezingatiwa.

ni hatari sana kuingiza vidole ukeni, osha mashavu ambayo yana dead cells na yako na joto, na mikojo.
 
Kwanza ukiingiza midole huko unaaingiza bacteria, mwisho wa siku unakuta uke umelegea haukazi
 
kuna MTU kanipa disinfectant nioshee uke na kiasi kingine nivukize Kwenye uke eti ni dawa inaua vijidudu vya U.T.I sasa matokeo yake nilivyofanya hivyo kwa siku tatu Ndo mashavu yakavimba na kukaanza vidonda hapo hapo nje ya mashavu.
Nimeacha Mara moja na kugundua kuwa yote ni madhara ya kuosha papucha kwa kemikali.
 
Back
Top Bottom