Hakuna madhara yoyote ndugu yangu,kama unatumiamaji tu,usitumie sabuni au makorokoro mengine huko ndani utadisturb normal flora...Habari nauliza nimadhara gani unaweza kuyapata ukijisafisha uke kwa kidole kama makungwi wanavyofundisha asante
Hakuna madhara yoyote ndugu yangu,kama unatumiamaji tu,usitumie sabuni au makorokoro mengine huko ndani utadisturb normal flora...
Si umeshasema wewe loh...Are you a gynecologist watu8 naona upo sana kwenye post za mambo ya mfumo wa uzazi,matatizo ya wanawake 🙂Pia mwambie ahakikishe kidole ni kisafi, kucha ziwe fupi pia na asisokomeze huko ndani...
Wanawake wengi siku uzi hawana ile harufu natural ya k, harufu ile hutia hamasa sana wakati wa tendo, pls achen kuosha kwa kuingiza midole yenu uko ndan.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Douching inaaminika kuwa inasababisha infections (kila mara utasikia uti na kutoa harufu mbaya ama pelvic inflamatory diseases), inaongeza risk ya kupata magonjwa ya zinaa, epictopic pregnancy (mimba kutunga kwenye mirija ya kizazi) na pelvic carcinoma (aina ya kansa ya kizazi). Japo cdc wanatakanutafiti ziaidi ufanyike lakini kwa sasa habari ndio hiyo.
Vagina ni self cleansing organ. Kama hauikamui damu na inatoka inaisha unakaa msafi kwa kipindi muafaka, kwa nini unadhani unahitaji kutoa uchafu kwa kidole? Safisha mashavu hayo ndio yanakuwa na dead cells zinatoa harufu kwa sababu ya unyevu.
Huo dio ukweli waache kosha ndani na huku kwa nje waoshe kwa maji masafi tu.
my dearest shule za mtaani ni mbaya sana, hasa kutoka kwa watu ambao wao wanaish kwa hisia tu bila kuwa na uhakika. Makungwi walituaminisha kwamba uke lazima usafishwe kwa kaidole cha kati wao wakidhani ndio usafi na ya kwamba utoko ni uchafu.Douching inaaminika kuwa inasababisha infections (kila mara utasikia uti na kutoa harufu mbaya ama pelvic inflamatory diseases), inaongeza risk ya kupata magonjwa ya zinaa, epictopic pregnancy (mimba kutunga kwenye mirija ya kizazi) na pelvic carcinoma (aina ya kansa ya kizazi). Japo cdc wanatakanutafiti ziaidi ufanyike lakini kwa sasa habari ndio hiyo.
Vagina ni self cleansing organ. Kama hauikamui damu na inatoka inaisha unakaa msafi kwa kipindi muafaka, kwa nini unadhani unahitaji kutoa uchafu kwa kidole? Safisha mashavu hayo ndio yanakuwa na dead cells zinatoa harufu kwa sababu ya unyevu.