princebujonde
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 198
- 55
Wana JF Doctor, kuna meal culture imejitokeza sehemu yetu ya kazi mda wa luch mtu unawekewa maziwa fresh(cultured) na tunda la chungwa. nachojua mimi chungwa lina citric-acid na maziwa yana protein sasa je hakuna madhara kiafya kula mchanganyiko huo kwa pamoja..... please wataalam wa mambo ya vyakula mtujuze mana tupo njia panda.