princebujonde
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 198
- 55
Mbege ndiyo full dose mkuuda kumbe matunda nayo yana acid. soda kisukari. bia kisukari. tunywe nini?
Kunywa maji, ni salama zaidi. Lakini nayo usinywe ya baridi, hasa mara baada ya kumaliza kula mlo (wa moto?)da kumbe matunda nayo yana acid. soda kisukari. bia kisukari. tunywe nini?