Nini madhara ya kula na kuliwa tigo?


Ukiwa nyuma ya keyboard, unaweza kudai kuwa wewe ni fulani, una ujuzi fulani, hakuna atakayethibitisha, mimi kuwa mganga wa kienyeji na wewe kuwa doctor ni wewe unayesema, ila ukweli utabakia palepale, kuwa unacho kizungumza ni stories za mitaani na hazina ukweli wowote ule....!

Rudia maelezo yako uko nyuma utaona jinsi unavyo jichanganya kwenye maelezo yako.... Alafu unajiita wewe ni doctor...!?
 
Ndugu,anachokiongeza mkubwa ni kweli..
Huwezi make conclusion kwa only 20 cases,I have massive evidences of that cuz nimeattend women who were in labour hundreds and the scenario iko common sana na wala sio lazima wawe wametumia mtandao wa 071/065..
mweleweshe huyo jamaa....anafikiri anajua kitu kumbe hajui....mke wake hakumwambia alichokifanya labour.
 
Ewe mungu mnusuru mja wako na wale wanaopenda mchezo huo uwaondolee hamu ili waache. Ndugu yangu kwenye sinema huwa wanakata na kuhariri, hawaonyeshi uchafu hata siku moja. Kungekuwa na behind the scene ungeelewa. Mungu tuepushe na hayo.
 
Huwa wanatoa kinyesi ni kawaida hiyo jamani tunaita first twin sio lazima awe ameliwa Tigo unajua kuwa rectum na vagina viko karibu sana na vinatenganishwa na membrane dogo sana ukitaka kuamani ni yule mama aliyepata tear ambayo ni degree ya NNE ndio utajua kuwa rectum na vagina ziko karibu sana just membrane ndiyo inayotofautisha membrane kuhusu tigo jamani kwa mwanaumme urethra itabrock na anal spincter zitarekax kwa mwanamke ajiandae na complication wakati wa kujifungua pia rectum inavibacteria vingi ukitoa mdomo kwahiyo risk ya magonjwa ni kubwa sana kutokea kwenye rectum na anus
 
Sio kweli kama anamatatizo ni jambo la kawaida
 
Mwanamke kutoa kinyesi wakati wa kujifungua ni kawaida,,, hata Kwa wanyama, Kama Ng'ombe,Mbuzi sometime wakati wa kuzaa Huwa wanatoa kinyesi,,,je na Jao wanyama wanatumia Tigo??,,, KAMA UNA AKILI UTAELEWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…