rootsquare
Member
- Sep 30, 2016
- 30
- 48
Na wewe pia tukurekebishe. Andika "madhara yoyote" na siyo "madhara yeyote". Neno "yeyote" linatumika kwa kiumbe au kitu chenye uhai na "yoyote" ni kinyume chake. Kwa mfano, huwezi kusema "mtu yoyote". Unatakiwa useme "mtu yeyote".kwanza turekebishane, ni "madhara" na sio "madhala"
pili kwa ufahamu wangu ni kwamba hakuna madhara yeyote yasababishwayo na kutokufanya sex kwa mda mrefu. thats all!!!
Na wewe pia tukurekebishe. Andika "madhara yoyote" na siyo "madhara yeyote". Neno "yeyote" linatumika kwa kiumbe au kitu chenye uhai na "yoyote" ni kinyume chake. Kwa mfano, huwezi kusema "mtu yoyote". Unatakiwa useme "mtu yeyote".
Kuwa na ujasiri wa kubaka
Mkuu yupo sahihi kabisa ni yeyote sio yoyote