Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama wazazi wanagombana kila siku, nyumbani na makelele tu au baba anampiga mama je talaka haiwezi kuwa suluhisho bora zaidi hata kwa watoto kuliko familia ya aina hiyo?Hasara ninayoiona mimi inahusu watoto zaidi kama wanandoa walipata watoto,
Watoto itabidi wakaishi na mzazi mmoja wapo kati ya Baba au Mama,
So,hapo watakosa mapenzi ya mzazi mmoja,malezi bora kwa watoto ni kulelewa na wazazi wote wawili,
Taifa bora hujengwa kuanzia ngazi ya familia.