Hasara ninayoiona mimi inahusu watoto zaidi kama wanandoa walipata watoto,
Watoto itabidi wakaishi na mzazi mmoja wapo kati ya Baba au Mama,
So,hapo watakosa mapenzi ya mzazi mmoja,malezi bora kwa watoto ni kulelewa na wazazi wote wawili,
Taifa bora hujengwa kuanzia ngazi ya familia.