Nini Madhara ya Weed(bhangi)

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Ningependa kufahamu effects za weed kama drug nyingine na how it affects the brain.Someone smoke it without experiencing any side èffects?

 
unaweza ukajiona uko JF, kumbe uko facebook bana. haya ni madhara ya kwanza, wengine wataendeleza
 
madhara ni makubwa kuliko faida,tungekuambia ujaribu uje tuletea majibu ila hutaweza kurudi tena hapa na hata kama ukirudi hatutaelewa utachokuwa unatueleza:disapointed:
 
madhara ni makubwa kuliko faida,tungekuambia ujaribu uje tuletea majibu ila hutaweza kurudi tena hapa na hata kama ukirudi hatutaelewa utachokuwa unatueleza:disapointed:

Mwache ajaribu halafu atupe matokeo. Pumbaf
 
madhara ni makubwa kuliko faida,tungekuambia ujaribu uje tuletea majibu ila hutaweza kurudi tena hapa na hata kama ukirudi hatutaelewa utachokuwa unatueleza:disapointed:

u neva no bishosti
 
madhara yote ya sigara... utayapata katika weed + cancer!
 
Mwache ajaribu halafu atupe matokeo. Pumbaf

Bangi Nibangue!

Tatizo la Bangi litakufungua akili na unaweza shtukia jinsi unavyo tawaliwa kama mtoto mdogo!

Hakuna kitu kizuri kwa mwafrika kama hilo jani! Usidanganyike na wanafik!
Source?
" why do All those people WHO Call themselves government and leaders, WHO always claim to be helping us do the right things dont want us to smoke?
they say it makes us rebel! Rebel against what?"
Bob Marley.


Baraka Obama ni mtumiaji mzuri wa hii bidhaa, tatizo bado tuko kwenye mfumo wa kuogopa kujua ukweli kwamba madhara ya Bangi ni wewe na ufinyo wa akili yako!
 

Well said..
 

umemaliza kila kitu mkuu......burudika na hii kitu kwanza.......


cigarettes are cancer, death. weed is awakening, revelation.......he he hehe he......
 
Last edited by a moderator:
Ganja ina madhara kiafya kama pombe, sigara au mirungi iwapo tu utaifanyia abuse means ganja abuse; ganja abuse ni kama kuvuta bila kiasi yaani kuifanya msosi, na kuvuta pafu nyingi saana kuvuta afu uwe unakaa idle, na bila kula balance diet. Ganja ikivutwa kwa staha lets say asubuhi before hujaenda kazini inachangamsha ubongo na ukivuta jioni after work unarelax na kulala vizuri saanaa. Ukivuta nyingi saana utapata halucinatio na uchovu mwingi. Ganja ni addictive kama ilivyo sigara, pombe na sex ukiweza kuicontrol ni safi saaana. Ukiwasikiliza wataalamu watakwambia ina madhara na kila kitu hapa duniani kina madhara hata Sunlight cha muhimu usizidishe. Bangi usivutie shida vutia starehe.
NB: ukivuta ganja usivute kushabu chambua vizuri majani(vichwa) mbegu,ile miti na nwele zake zinaleta njaa cha muhimu vuta kitu kikali ka cha arusha ganja ni tiba inatibu mambo mengi saana na mojawapo ya mimea ya tiba ambayo muumba kaiweka duniani. Kama dawa zingine tu ukii abuse ina effect.
 
bangi inaleta social awarness and self consiousness huwezi kuta mvuta bangi mzuri sio yule anyeifanyia abuse akizini hovyo au akifanya mambo ya ajabu since utafkiri saana kabla huja act na inaleta confidence sana.
Kwa kiafya bado sijapata kipimo halisi cha kiwango cha nicotine kipi ni kikubwa kati yake na sigara nahisi bangi ina kiwango kidogo coz moshi wake ni mwepesi kuliko sigara na light in colour than moshi wa sigara
 
umemaliza kila kitu mkuu......burudika na hii kitu kwanza.......


cigarettes are cancer, death. weed is awakening, revelation.......he he hehe he......
daaah! Yani hapo ful man!
 
Last edited by a moderator:

big ups sana mkuu! Daaah! Yani nimejikuta napata stim frm nowhere!
 
Duh

kumbe bangi inatibu magonjwa mengi kama kikombe cha babu, inapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…