Nini Madhara ya Weed(bhangi)

Huko ni kwenda kuharibu akili hiyo kitu sio poa kabisa mkuu

Wenye akili ndogo wakivuta wanaishia kuwa
(Samahani kwa rais wa Mateja najua ni kazi tu)


Ila wenye akili kubwa kubwa wakivuta hii kitu wanaishia kuwa kama kaka mkubwa hapa

Au ndugu yake wa Uruguay aliyeamua kuifanya kiinua uchumi
 

Hahahahaaaa!
Ati kama ipo, ipo tu!
 
Ningependa kufaham effects za weed kama drug nyngne na how it affects the brain. Cn someone smoke it without experiencing any side èffects?
sijui sana sideeffect,but vipi mkuu unatumiaa???
 
weed iko fasta sana katika kukufanya uchanganyikiwe...

wengine wanasema inachangamsha.. kumbe ndio unachanganyikiwa interms of kuchangamka!

imagine, mwanadamu wa kawaida kulima masaa 12 mfululizo, ni kitu ambacho hakiwezekani..

lakini ukipiga weed, unapata mzuka wa kufanya kazi to the maximum.. je hii ni mbaya ama njema?

hapo naona kuna double coincidence...

karibuni!
 

inategemea na mwili wa mtu mwingine akivuta anakula sana.
 

good analysis
 

well said, due to my general analysis bange haina nikotine kabisa.
 
HAHAAA!! umezingua ww!

kwa hiyo wasio na hmu ya kula?

ni hivi uyo ambaye amevuta bange then akala sana au akalima masaa 12 tatizo ni mtu mwenyewe na sio bange mbona me nikivuta nakuwa normal huwezi jua kama nimevuta kumbuka bange si kwa kila mtu kuna wengine inawapenda na wengine inawachukia.
 
madhara ya sigara ni makubwa,bangi haina madhara,ina faida mno,ila inataka puff chache tarrrt ibu na kwa staha ya hali ya juu kwa kifup kuvuta bangi ni ibada ni sacrament tena ni uponyaji.
 
Sio kila Kaya inakupa mizuka, Kaya mingine Unalala au mwili una relax to the extent, only you can talk shits or watching military movies.
 
Walio tumia kwenye ukoo wetu walipiga kitabu sana + Excellent results up to degree level lakini kazini waliharibu na kutimuliwa .. Faida ni kwa muda tu ... Baadae mauza uza..
 
Ni mmea tu kama mimea mingine hauna madhara bali una virutubisho muhimu kama nikotini na vitamin
 
"Behold, I have given you every herb bearing seed which is upon the face of all the earth.…To you it will be food. And God saw everything that he had made, and, behold, it was very good. (Genesis 1:29-31).
 
Ni mmea tu kama mimea mingine hauna madhara bali una virutubisho muhimu kama nikotini na vitamin
Nicotine ni kwenye cigarette kaka mkubwa, kwenye ganja Kuna compound inaitwa THC ( Tetrahydrocannibinol ) ambayo by definition: a compound, C21H30O2, that is the physiologically active component in cannabis preparations, including marijuanaand hashish, derived from the Indian hemp plant or produced synthetically.Abbr.:THC)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…