Nini madhara yake!

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Habari wana Jf.
Samahani,ningependa kujuzwa kama kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi bila kinga akiwa kwenye hedhi.
Karibuni jamvini!
 
Kwa mwanamke au kwa mwanaume?
 
Madhara yake ni kuwa mtachafua mashuka na nyie wenyewe mtachafuka,it's just like run your car into a ditch full of mud,man!yaani mmezidiwa sana kiasi cha kushindwa kuvumilia hivyo visiku viwli-vitatu vipite!njaa gani hiyo wajameni,anyway siwalaumu sana maana huwa inatokeaga,lol!
 
Hata kama haina madhara ila ni uchafu jamani.duu
 
hebu muulize mama nyumbani kwenu... "hivi mama huwa unampa baba wakati ukiwa katika kipindi cha hedhi?" atakachokujibu uje utuambie! sawa dogo?
 
hebu muulize mama nyumbani kwenu... "hivi mama huwa unampa baba wakati ukiwa katika kipindi cha hedhi?" atakachokujibu uje utuambie! sawa dogo?

umetisha mkuu!
 

Inatokea,heb imagine mtoto kaja kukutembelea,mvua kubwa ikanyesha,kashindwa kurudi kwao,kaamua mlale,af anakuambia,nko kwe siku ya mwisho ya siku zangu...umenisoma,pagumu apo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…