GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mkuu huyo huenda akawa kiongozi mkuu wa kikosi maalum cha "Janjaweed" kinachotumika kuteka, kutesa, kuumiza, na hata kuuwa raia kwa ajili ya kuilnda CCM isipoteze dola huko Zanzibar. Duh! Kumbe bado ni usiku mzito, ninaota tu!Swali Dogo jingine; kwenye sherehe za mapinduzi, yule General anaekaa pembeni ya Rais wa Zenji kama Rais wa muungano anavokuwa na CDF kwenye sherehe za kitaifa, ni nani hasa pale zenji kwa cheo ?
Wote hao ni jeshi la akiba la JWTZ, na CDF Mkunda ndiye mkuu wao. Kukitokea vita, wote wataingia ulingoni kuitetea Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum.
Idara Maalum inajumuisha:
(A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU
(B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM
(C). Chuo cha Mafunzo
Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza.
Vikosi vilivyosalia - KMKM na JKU, vina majukumu gani?
Kuna Vikosi vingine vya Kijeshi Zanzibar zaidi ya hivyo vitatu?
Hivyo Vikosi vinamuduje kutimiza majukumu yake bila kugongana na majeshi ya Muungano?
Na kuwakamata wamasai mitaani wenye rungu na sime zao za asili huku machangu na Wanaume wa kike wakiachwa wanajivinjariJukumu la kwanza ni kusaidia ccm kushinda uchaguzi kwa udi na uvumba
KZUKatiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum.