Kutoka Katibu Mkuu kiongozi hadi ubunge viti maalum - aisee nyieeee !!Wakuu.
Pamoja na kwamba nafahamu katiba imeruhusu Rais kumteua wabunge wasiozidi kumi bungeni. Naomba kueleweshwa.
Naomba kufahamu majukumu ybunge wa kuteuliwa na Rais ambaye ni Mbunge tu hajapewa uwaziri wala unaibu waziri.
Kwa mfano Dkt. Bashiru Ally
... mtu ameshindwa ku-perform unampeleka Bungeni akale posho!Kutoka Katibu Mkuu kiongozi hadi ubunge viti maalum - aisee nyieeee !!
... matumizi mabaya ya kodi za wananchi!Tena bila kutoa jasho
Umemaliza kila kitu.... kwa Katiba ya sasa, sifa mojawapo ya kuwa waziri ni lazima uwe m'bunge. Lengo la kifungu hicho cha Katiba (nafasi 10 za ubunge za Rais) lilikuwa kumsaidia Rais pale ambapo kuna mwananchi with outstanding performance (like Hon. Liberata Mulamula) ambaye sio m'bunge ila Rais anaona, kwa performance yake iliyotukuka, atamsaidia kwenye uwaziri basi aweze kumteua ubunge ili awe na sifa za kuteuliwa uwaziri.
Sasa kama kuna watu wanateuliwa kwa lengo la kulipana fadhila, kujuana, au vinginevyo ni matumizi mabaya ya hicho kifungu, na bahati mbaya, Katiba imekaa kimya hivyo kutoa uwezekano wa matumizi ya hovyo ya hicho kifungu! Wala Katiba hailazimishi kwamba lazima nafasi zote 10 zijazwe; la hasha anaweza asiteue yeyote endapo atapata watu wa kufaa kwa nafasi zote za uwaziri kutokana na wabunge wa majimbo au viti maalumu.
kununa rais akiwa anahutubiaWakuu.
Pamoja na kwamba nafahamu katiba imeruhusu Rais kumteua wabunge wasiozidi kumi bungeni. Naomba kueleweshwa.
Naomba kufahamu majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais ambaye ni Mbunge tu hajapewa uwaziri wala unaibu waziri.
Kwa mfano Dkt. Bashiru Ally
Mkuu umetoa hoja nzito tupu. Mbunge wa kuchaguliwa haipendezi kuteuliwa kuwa waziri .Umemaliza kila kitu.
Sina cha kuongeza.
Maelezo yamejitosheleza.
Tungekuwa taifa makini, lenye uwajibikaji na kujali misingi ya uendeshaji bora wa serikali na mihimili yake pasipo kutumia gharama kubwa, basi mambo haya tungeyaona.
1. Baraza la mawaziri lingekuwa na mawaziri kumi tu ambao wangetokana na ubunge wa viti maalum vya Rais. (Wangelipwa mshahara wa uwaziri tu ambao Rais angewapa, maana wameletwa na Rais bungeni, hawakutumwa na wananchi)
2. Wabunge wengine wote wasinge onja uwaziri, maana wametumwa na wananchi kuja kuwatetea bungeni na kuibana serikali. (Kwa maana huwezi kutumikia mabwana wawili)
3. Ubunge wa viti maalum vya wanawake ungefutwa kabisa kwa maana hauna maana yoyote kwa wananchi na taifa. (Jinsia isiwe kigezo cha kumpa au kumnyima mtu ubunge, na zaidi ya 99% ya hoja za bungeni hazina uhusiano wa kijinsia na hazipitishwi kijinsia)
Kwani mnunaji mwenyewe anasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23]kununa rais akiwa anahutubia