Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 349
- 805
Habari gani ndugu zangu?
Nahitaji kufahamu, unapotafuta chumba/nyumba ya kupanga, kuna mantiki gani ya kuonana na Dalali kwanza hata kama umeshaonana na mwenye nyumba?
Sijui utaratibu kwa mikoa mingine, lakini kwa Dar es salaam unaweza kuonana na mwenye nyumba, na akakwambia kabisa vyumba/ nyumba ipo ila tafuta dalali kwanza. Sasa mantiki ya hili ni nini? Kwanini tusimalizane moja kwa moja na muhusika kama nimeweza kumfikia mwenyewe?