Nini maoni yako juu ya mwenendo huu wa Fc Barcelona tangu kurejea kwa Xavi

Nini maoni yako juu ya mwenendo huu wa Fc Barcelona tangu kurejea kwa Xavi

Sucker

Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
42
Reaction score
22
Tangu kurejea kwa xavi pale Barcelona katika mechi 11 hajapoteza game hata moja,kipindi cha nyuma je shida ilikuwa kwa kocha,wachezaji au uongozi wa juu?

Japo ronald koeman kuna kipindi alisema uongozi haukumpa uhuru wa kufanya kazi je nini maoni yako juu ya mwenendo huu wa Barcelona kwa miezi ya hv karibuni
 
Bado mapema sana kumpa credit mara nyingi makocha wapya wanaanza vizuri ila baadae mambo hubadilika
 
Wabongo huwa hawana kumbukumbu.

Hata kocha wa Azam alikuwa anashinda mfululizo
 
Bado mapema sana kumpa credit mara nyingi makocha wapya wanaanza vizuri ila baadae mambo hubadilika
Nyie kipindi anakuja mlisema hatafanya vizuri...saivi mnasema anafanya vizuri ila baadae atavurunda....hiyo baadae sijui mtasemaje
 
Back
Top Bottom