Unaifatilia barca kweli?Bado mapema sana kumpa credit mara nyingi makocha wapya wanaanza vizuri ila baadae mambo hubadilika
Nyie kipindi anakuja mlisema hatafanya vizuri...saivi mnasema anafanya vizuri ila baadae atavurunda....hiyo baadae sijui mtasemajeBado mapema sana kumpa credit mara nyingi makocha wapya wanaanza vizuri ila baadae mambo hubadilika