Ukiangalia baadhi ya matukio ya kisiasa Africa utabaki kujiuliza maswali mengi yasiyo na majibu. Baada ya Uchaguzi wetu Tanzania kuleta taharuki nyingi leo wote tunaangazia uganda kinachoendela.
Ukiwa kama mdau wa siasa una maoni kuhusu uchaguzi mkuu wa Uganda?
Wapinzani na viongozi wa Africa hakuna tofauti iwe Kenya iwe Tz iwe Uganda hata iwe wapi Wapinzani wataendelea kulalamika hivyo hivyo bila kufika mwafaka
Vijana wa JF ambao hamfuatilii hizi mambo za siasa mkiona bandiko la siasa muwe mnakaa mbali, sababu ni kutokana na comments zenu ambazo zinaonyesha ni 😇 kichwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.