Feeling Haillee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 205
- 97
Naomba kujua sababu inayokufanya usikubaliane na hili la wanaume kufunga uzaziMe hata sijakuelewa sijui umeandika kiruga, hebu andika kiswahili ili nikuelewe niweze kukujib
Kwanza sizani kama kuna kitabu cha dini kimeeleza kwamba kuna ulazima kufunga kizazi,Naomba kujua sababu inayokufanya usikubaliane na hili la wanaume kufunga uzazi
Somehow nmeridhika. Ila huko kwenye imani naomba nisiguse. Lkn hapa kwenye kua muhuni:, Mmmmh!. Nadhan ni tabia tu ya mtu. Labda kwa hii ya mwisho kua unahitaji kua na familia, it's Ok!. Lkn unapofunga kwan c unapumzika na ukitaka kuzaa wanatoa kizuizi??. Kwa maoni yng Nash hii inafaa kwa walio kwen ndoa au wale wanaotaka kuzaa kwa mpango. Na kwa mwanaume ni kat tu kuonesha Upendo kwa mwenzie...., hv cjaona ubaya wa juu ya hili. TENA NNGEKUA MWAUME NNGEKUA WA KWANZA KUMSAIDIA MKE WNG KUFUNGA HII KITU.Kwanza sizani kama kuna kitabu cha dini kimeeleza kwamba kuna ulazima kufunga kizazi,
Pili mungu anasababu zake nyingi sana za kuniumba mimi niwe na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke,
Tatu tutu nikifanya hivyo wanaweza nipelekea kuwa muhuni, kuweza kutembea hata na wanafunzi nikiondoa hofu kuwa hata nikitembea nae hatopata ujauzito.
Tatu kwa sasa bado nahitaji kuwa na familia labda nikifikisha miaka sitini ndo nifanye hilo zoezi, hata ivyo itakuwa haina haja kwani nguvu zenyewe zitakuwa zoofu,
4. Ujue sijaoa ivo, kwa hiyo sihitaji kusikia hiyo kitu kabisaaaa
Umeridhika haya toa na ww maoni yako
Hii kwa wanaume unafanyiwa operation na unakuwa huna uwezo wa kutia mimba tena aisee, ndo maana siungi mkonoSomehow nmeridhika. Ila huko kwenye imani naomba nisiguse. Lkn hapa kwenye kua muhuni:, Mmmmh!. Nadhan ni tabia tu ya mtu. Labda kwa hii ya mwisho kua unahitaji kua na familia, it's Ok!. Lkn unapofunga kwan c unapumzika na ukitaka kuzaa wanatoa kizuizi??. Kwa maoni yng Nash hii inafaa kwa walio kwen ndoa au wale wanaotaka kuzaa kwa mpango. Na kwa mwanaume ni kat tu kuonesha Upendo kwa mwenzie...., hv cjaona ubaya wa juu ya hili. TENA NNGEKUA MWAUME NNGEKUA WA KWANZA KUMSAIDIA MKE WNG KUFUNGA HII KITU.
Naomba nikushawishi tuuu, hv km ww na mwenzio mmepanga kua na watoto wanne, na tayari mnao. Nambie ni wapi ilipo hofu yako??Hii kwa wanaume unafanyiwa operation na unakuwa huna uwezo wa kutia mimba tena aisee, ndo maana siungi mkono
Ok na ikitokea maafa ya watoto wako huku wewe huna uwezo wa kupata mtoto siunaona itakuwa ni maumivu mara mbiliNaomba nikushawishi tuuu, hv km ww na mwenzio mmepanga kua na watoto wanne, na tayari mnao. Nambie ni wapi ilipo hofu yako??
Oooh, hapo ss ni sawa...., kwa maana hiyo mwanamke ndo aumieee!, au??. Napo ss hy itakua ni mipango ya Mungu.Ok na ikitokea maafa ya watoto wako huku wewe huna uwezo wa kupata mtoto siunaona itakuwa ni maumivu mara mbili
Me nahisi kuna njia mbadala za uzazi wa mpango sioni kama kuna ulazima wa kufunga kizazi kabisa na usipate mtoto tena, me sishaur mtu afunge uzazi, nashauri tu atumie njia za uzazi wa mpango pindi akihitaji mtoto apate tu, au unasemaje hapoOooh, hapo ss ni sawa...., kwa maana hiyo mwanamke ndo aumieee!, au??. Napo ss hy itakua ni mipango ya Mungu.
Hahaaa, kiukweli umenimalizaaa. Umeongea neno haswaaa!.Sante sn.Me nahisi kuna njia mbadala za uzazi wa mpango sioni kama kuna ulazima wa kufunga kizazi kabisa na usipate mtoto tena, me sishaur mtu afunge uzazi, nashauri tu atumie njia za uzazi wa mpango pindi akihitaji mtoto apate tu, au unasemaje hapo
Nashukuru kwa kunielewa mpendwaHahaaa, kiukweli umenimalizaaa. Umeongea neno haswaaa!.Sante sn.
Ndio njia rahisi na isiyosumbua. Kufunga kizazi mwanamke ni Nguni kuliko dume. Wanaume wote fanyeni hii njia.Kufuatia suala la uzazi wa mpango, sasa hivi kuna njia ya wanaume nao kupanga uzazi kwa kufunga kizazi na kuto kuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke. Unakuwa unaweza kufanya mapenzi tu pasipo uwezo wa kutia ujauzito.
Mimi kwa upande wangu sikubaliani na hicho kitu, labda kutumia njia nyingine za kupanga uzazi Na c kufunga kabisa.
Nini maoni yako?
Ushaur mbovu kabisa huuNdio njia rahisi na isiyosumbua. Kufunga kizazi mwanamke ni Nguni kuliko dume. Wanaume wote fanyeni hii njia.
Fafanua. Kwa nini kwa wanawake ni mzuri lakini kwa wanaume mbaya?Ushaur mbovu kabisa huu
Madness of rhe highest order.Kampeni ya kufungwa kufungwa kizazi kwa wanaume imezinduliwa Kenya na wanaume zaidi ya 30 walishiriki ktk zoezi hilo siku ya uzinduzi.
Na hapa Tanzania wanaume wanafunga uzazi lakini ni baada ya counselling sana kwani njia hautazaa tena.