mwachisabwe kibona
Senior Member
- Aug 5, 2014
- 116
- 27
wanajamvi habari? naomba kujua matumizi sahihi ya maneno mno na sana kwa sababu nimekuwa nikipata shida je kila neno ni mbadala wa lenzake au la! mf:amekula sana
au amekula mno kipi ni kiswahili fasaha? nawasilisha
au amekula mno kipi ni kiswahili fasaha? nawasilisha