mwachisabwe kibona Senior Member Joined Aug 5, 2014 Posts 116 Reaction score 27 Jan 9, 2015 #1 wanajamvi habari? naomba kujua matumizi sahihi ya maneno mno na sana kwa sababu nimekuwa nikipata shida je kila neno ni mbadala wa lenzake au la! mf:amekula sana au amekula mno kipi ni kiswahili fasaha? nawasilisha
wanajamvi habari? naomba kujua matumizi sahihi ya maneno mno na sana kwa sababu nimekuwa nikipata shida je kila neno ni mbadala wa lenzake au la! mf:amekula sana au amekula mno kipi ni kiswahili fasaha? nawasilisha