mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Mimi ni mwananchi wa kawaida, lakini nimekuwa nafuatilia Vyanzo mbalimbali vya Mapato kwa Taifa letu.Tunaona Mbuga zetu zinavyokusanya, Madini yetu, Maliasili, Kilimo Anga n.k.lakini sijaona Bahari yetu pamoja na ukubwa wake.
Samaki wanauzwa walio wengi wanatoka nje ya nchi na wavuvi wetu wanavua kiasi kidogo sana ambacho kodi wanazotozwa ni ushuru mdogo wa Halmashauri.
Najiuliza kwanini Serikali yetu inashindwa kufanya Uwekezaji Mkubwa katika Bahari yetu ili hao samaki kutoka nje wakome?
Kwanini Serikali isinunue Meli zake kubwa za Uvuvi kama ilivyofanya kwenye Ndege? Naamini ushauri wa Watanzania viongozi wetu wataufanyia kazi Tanzania ni yetu sote.