matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
hao hao unaowajua wewe ndio nawaongelea mimi mkulu.Jamani ufreemason mnayoongelea nyie siyo hii freemason inayojulikana, hiyo yenu ni conspiracy theory, na ni akili za kimaskini ndio zinazoongeleaga huo ufreemason. Mi nadhani wengi wanaoiongelea hii issue ni kwa sababu wamefeli kimaisha na wanaichukulia kama excuse ya wao kushindwa.
Hakuna shortcuts, piga kazi au baki ukilialia tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hao hao unaowajua wewe ndio nawaongelea mimi mkulu.
wana lodges karibu dunia nzima.
nini unadhani ni uhalisia wa hawa mabwana.Kuwa na lodges haimaanishi chochote, mbona wagiriki wana Greek clubs nyingi tuu hata hapo Bongo na hakuna anayequestion.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe ni watu wema tu hatuna haja ya kuwaogopa.Hizo ni hadithi za vijiweni tuu, ni kundi kama makundi mengine na lina members wa kawaida na wengine ambao ni matajiri.
Kuwaona matajiri tuu ni kwa sababu jamii imeaminishwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lodge kumaanisha gesti? Hizi tunazolala na machangudoa?hao hao unaowajua wewe ndio nawaongelea mimi mkulu.
wana lodges karibu dunia nzima.
hapana, ni mahekalu yao wanayaita hivyo.
mfano mmoja mkuu, vijana wanaweza kuunda vikundi na kuomba msaada huko kuliko kutegemea mifuko ya halmashauri?
hahaha
kumbe ni watu wema tu hatuna haja ya kuwaogopa.
Mbona hawafanyi mikutano ya injili/miadhara kuongeza memba au ni kama kijiwe tu flani wanakutana marafiki kubadilishana story za maisha hawana haja ya kushobokea watu wapya kwenye umasoñi wao