Nini Msimamo wa Tanzania Migogoro Niger?

Nini Msimamo wa Tanzania Migogoro Niger?

Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua
Mtu mbinafsi anajifikiria mwenyewe. Self-cherishing inaitwa. Hajali na hajui jirani anafanya nini. Jirani kalala njaa, yeye hajui,jirani anaweza hata kula vyakula anavyotupa jalani.
Nchi ya kibinafsi,Tanzania:mkataba wa bandari,mkataba wa bandari. Hatuna mawazi mengine. Kasheshe Sudan,:kasheshe Niger,Putin anawaonya ECOWAS,wanasema labda tusimuogope Putin,Ukraine imemshinda,anatutisha nini. Wagner wameitwa waasi kule Urusi,sasa Putin anawaambia ECOWAS,"msibishane na Wagner wangu"
 
Back
Top Bottom