A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Aug 13, 2023 #1 Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua
Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Aug 13, 2023 #2 Andrew123 said: Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua Click to expand... Hapo Kisiju unakaa sehemu gani? Una Kadi ya CCM? 2020 Kura ukimpigia Nani?
Andrew123 said: Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua Click to expand... Hapo Kisiju unakaa sehemu gani? Una Kadi ya CCM? 2020 Kura ukimpigia Nani?
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Aug 13, 2023 #3 Ndumilakuwili
E establishment JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 1,632 Reaction score 2,435 Aug 13, 2023 #4 Tumeionya Niger Kwa yanayoendelea
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Aug 14, 2023 Thread starter #5 Okay
Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Aug 14, 2023 #6 Andrew123 said: Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua Click to expand... Mtu mbinafsi anajifikiria mwenyewe. Self-cherishing inaitwa. Hajali na hajui jirani anafanya nini. Jirani kalala njaa, yeye hajui,jirani anaweza hata kula vyakula anavyotupa jalani. Nchi ya kibinafsi,Tanzania:mkataba wa bandari,mkataba wa bandari. Hatuna mawazi mengine. Kasheshe Sudan,:kasheshe Niger,Putin anawaonya ECOWAS,wanasema labda tusimuogope Putin,Ukraine imemshinda,anatutisha nini. Wagner wameitwa waasi kule Urusi,sasa Putin anawaambia ECOWAS,"msibishane na Wagner wangu"
Andrew123 said: Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua Click to expand... Mtu mbinafsi anajifikiria mwenyewe. Self-cherishing inaitwa. Hajali na hajui jirani anafanya nini. Jirani kalala njaa, yeye hajui,jirani anaweza hata kula vyakula anavyotupa jalani. Nchi ya kibinafsi,Tanzania:mkataba wa bandari,mkataba wa bandari. Hatuna mawazi mengine. Kasheshe Sudan,:kasheshe Niger,Putin anawaonya ECOWAS,wanasema labda tusimuogope Putin,Ukraine imemshinda,anatutisha nini. Wagner wameitwa waasi kule Urusi,sasa Putin anawaambia ECOWAS,"msibishane na Wagner wangu"