Nini msingi wa sisi kupigania uhuru?

Nini msingi wa sisi kupigania uhuru?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Nini msingi wa sisi kupigania uhuru ? Kama uhuru wenyewe haupo ?

Bora wale wazee wa kiislam wangeendelea kunywa tu kahawa na kuachana na yule kijana wa Butiama.

Ingeelewaka moja kuwa tupo kwenye ukoloni wa mzungu mpaka leo.

Ilikuwa haina haja yule kijana wa Butiama kupokelewa kwa mikono miwili alikuwa ni tatizo na matokeo ya matatizo yake yanazidi kuonekana.
 
Babu yangu ambaye amezaliwa mwaka 1931 Huwa ananisimulia kuwa maisha kipindi Cha wakoloni yalikuwa mazuri kuliko kipindi Cha Sasa.mambo ya kutekana tekana hovyo kama Sasa hayakuwepo
 
Kuwa na Uhuru wa fikra na kuongea bila ku Unia sheria.

Maendeleo ya vitu hata wakoloni wangeleta tu kama walivyo Fanya nchi ambazo zilichelewa kupata Uhuru kama vile Africa ya kusini.
 
Ukiachilia Marekani, baadhi ya nchi za ulaya na Asia ambazo tulipata nazo uhuru karibu kipindi kimoja, ni zipi zime-excel extraordinarily kutuzidi? Na viongozi wangapi wamekuja baada ya huyo kijana wa Butiama, but they're still living under his shadow? Kama kawaida yetu wanadamu, tunatafuta scapegoat. He did the best of what he did, nawe fanya the best kwa nafasi yako
 
Nini msingi wa sisi kupigania uhuru ? Kama uhuru wenyewe haupo ?

Bora wale wazee wa kiislam wangeendelea kunywa tu kahawa na kuachana na yule kijana wa Butiama.

Ingeelewaka moja kuwa tupo kwenye ukoloni wa mzungu mpaka leo.

Ilikuwa haina haja yule kijana wa Butiama kupokelewa kwa mikono miwili alikuwa ni tatizo na matokeo ya matatizo yake yanazidi kuonekana.
Mi...
Napenda kukusahisha katika hili la "wazee."

Mwalimu Nyerere ndiye aliyeeleza hili kuwa yeye aliungwa mkono na wazee wa Dar-es-Salaam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ukweli ni kuwa harakati za kumuingiza Nyerere katika uongozi wa TAA 1953 wahusika wakuu walikuwa Hamza Mwapachu (1913 - 1962) na Abdulwahid Sykes (1924 - 1968).

Walikuwapo vijana wengi katika kipindi hiki: Dr. Michael Lugazia, Steven Mhando, Zuberi Mtemvu.

Wazee walikuwapo lakini sio walioleta mabadiliko yaliyotakiwa.

Haya yalianza katika uongozi wa Dr. Vedasto Kyaruzi na Abdulwahid Sykes 1950 mabadiliko haya ndiyo taliyowezesha kuundwa kwa TANU 1954.

Mzee aliyesimamia haya alikuwa Schneider Abdillah Plantan.

Bahati mbaya Mwalimu hajaeleza historia hii.
 
Sio nchi zote ziliachiliwa kwa kipindi kimoja, waliachiliwa kwa kadri walivyoonekana wanatosha kujiendesha.
bro tafta kitab flan kinaitwa the major secret isue in african cologne au kingine 1st cologne always cologne...nchi za waxungu zte kasor ethiopia ndo akutawaliwa mkolon baad ya kuon watu wananyanykia na aib wao kua magavana watawal kweny nchi ambaz si asil yao wakatafta mbinu nyingne bimana waitengenez vbarak wao wakuwaachia nchi ye anakua anakusanya wao wanachkua alaf wanatuletea bajet hela ndog kam misada wanaeka kampun zao kweny madin wananyonya af wanatoa kidgo na marais na watawaliw wanaish vzur tu ukizngua wanakutoa wanalet mwngne km kingerez tab tafta hat vtab vya wili gamba ana sir utavjua si tunatawaliw izo embacy za nchi ziliotutawala wanafanya kila ktu kwa maslai yao ukmbuk enz za nyerer alkua na mama yle mzungu mda ote tunaambiw ni muandika speech kaz yke ulkua unaijua? nchi zilopat uhur zile zilopgan na mkolon zkamshnd au i, skuiz zmefanya mapinduz km niger bukina faso mali na umeona znakat tie na wafaransa wanakmbia kwa mrus hao ndo atlist ila i, uganda kenya rwanda burund na zngne zte mal za watu na ndoman rwanda uganda rais ypo mda uskii wazung wanasem dikteta lwa vile yao yanaenda akianz kuzngua utaon mapnduz makund ya kigaid yanaanzshwa pk anatolew madarakan tuna uhur wa bendera sio wakuamua
 
Back
Top Bottom