SahihiHakukuwa na kupigania uhuru ni muda wa mkoloni kuondoka ulifika tu, ni lini na wapi mlipigana?
Mi...Nini msingi wa sisi kupigania uhuru ? Kama uhuru wenyewe haupo ?
Bora wale wazee wa kiislam wangeendelea kunywa tu kahawa na kuachana na yule kijana wa Butiama.
Ingeelewaka moja kuwa tupo kwenye ukoloni wa mzungu mpaka leo.
Ilikuwa haina haja yule kijana wa Butiama kupokelewa kwa mikono miwili alikuwa ni tatizo na matokeo ya matatizo yake yanazidi kuonekana.
mbona souz wamechelewa kuondoka sie 64 souz 92?Hakukuwa na kupigania uhuru ni muda wa mkoloni kuondoka ulifika tu, ni lini na wapi mlipigana?
Sio nchi zote ziliachiliwa kwa kipindi kimoja, waliachiliwa kwa kadri walivyoonekana wanatosha kujiendesha.mbona souz wamechelewa kuondoka sie 64 souz 92?
bro tafta kitab flan kinaitwa the major secret isue in african cologne au kingine 1st cologne always cologne...nchi za waxungu zte kasor ethiopia ndo akutawaliwa mkolon baad ya kuon watu wananyanykia na aib wao kua magavana watawal kweny nchi ambaz si asil yao wakatafta mbinu nyingne bimana waitengenez vbarak wao wakuwaachia nchi ye anakua anakusanya wao wanachkua alaf wanatuletea bajet hela ndog kam misada wanaeka kampun zao kweny madin wananyonya af wanatoa kidgo na marais na watawaliw wanaish vzur tu ukizngua wanakutoa wanalet mwngne km kingerez tab tafta hat vtab vya wili gamba ana sir utavjua si tunatawaliw izo embacy za nchi ziliotutawala wanafanya kila ktu kwa maslai yao ukmbuk enz za nyerer alkua na mama yle mzungu mda ote tunaambiw ni muandika speech kaz yke ulkua unaijua? nchi zilopat uhur zile zilopgan na mkolon zkamshnd au i, skuiz zmefanya mapinduz km niger bukina faso mali na umeona znakat tie na wafaransa wanakmbia kwa mrus hao ndo atlist ila i, uganda kenya rwanda burund na zngne zte mal za watu na ndoman rwanda uganda rais ypo mda uskii wazung wanasem dikteta lwa vile yao yanaenda akianz kuzngua utaon mapnduz makund ya kigaid yanaanzshwa pk anatolew madarakan tuna uhur wa bendera sio wakuamuaSio nchi zote ziliachiliwa kwa kipindi kimoja, waliachiliwa kwa kadri walivyoonekana wanatosha kujiendesha.