Nini nguvu ya mzazi au wazazi kwenye watu tunaotarajia kuoa au kuolewa nao

Asante
Asante kwa ushauri wako Mkuu.
 
Eti anakupenda na kukujali, pumbavu... lakini wachaga nao mbona kila mtu anawahofia..?
 
Wazazi wakikuonya sana juu ya mwanamke fulani na wewe ukafosi 90% utakuja pata tabu kubwa na utakosa pa kukimbilia, wazazi ni miungu wa duniani humu..mimi nishawapelekaga wanawale wawili home wakapigwa chini hawakutoboa kwenye vetting..kwaio kupendana kwenu sio tija...kivile...
 
A Aisee
 
Mimi ni mchaga .sikushauri uchukue mchaga wa machame....nipo na experience kali sana juu yao.

Kama ni marangu weka ndani kama ni mrombo na upo na plan ya kuwa tajiri kimbia pia .


In short eyes open ukiwa na mchaga wa machame na rombo.
 
Kabila sio tatizo ila linaweza kuwa tatizo mfano mtu mwenye asili ya pwani huwezi kuendana na mtu asili ya Kilimanjaro, mnaweza kupendana ila hamuwezi kwenda mbali. Kuhusu nguvu ya wazazi wewe unawafahamu wazazi wako vizuri kuliko mtu mwingine yeyote japo kitu kimoja common wazazi wote wanapenda wanao wawe sehemu salama hivyo ni uamuzi wako kuwa sehemu salama au kubet maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…