prince songoroka
Member
- Nov 11, 2019
- 58
- 70
Ushauri wangu..Habar za leo ndugu zangu.
Mwaka 2017 nilihitimu kidato cha nne na matokeo yangu hayakuwa mazuri kiasi cha kuridhisha. Mara baada ya kupata matokeo ya alama ya D tatu, nilikata tamaa na kushindwa kufanya namna ya kujiendeleza.
Katika moja ya kuongea na watu nikaelekezwa chuo ambacho nilisoma kwa muda wa miaka 2, lakiji kumbe kilikuwa hakijasajili.
Now nataka nisome chuo lakin bado nina D tatu zile. Nini nifanye ili nisome chuo bila ya ku-resit mtihan??
Naomba msaada tafadhali
Hivi mtu akirisiti na akapata alama ya kujiunga na chuo baada ya kumaliza chuo akitafuta kazi kwenye kuandika cv yake ataandika shule alisoma ya no ya mtihani ya kwanza? au zote mbili?Ushauri wangu..
Ndugu Ukitaka Shortcut Utakuja kulia Mbeleni..
Katika Vetting nyingi sana wanachukua Matoeo ya Form four unaweza ukapiga mpaka PhD na ukarudi ukaanza kulia tena hujapata Kazi ufanyaje..
Cha kukushauri Haiumizi Re-sit Tena utafute matokeo mazuri ambayo hayatakuwa na Utata mbeleni..
Wanaokushauri Uende VETA utaenda ila baadae utafika sehemu nafasi utakuwa huna ya kufanya hivyo ulivyotaka kufanya sasa..
Kwa mfano Kuna Nurse mmoja alisomaga zaman enzi zile manurse wanasoma bila Form four Qualification..
Sasa akatamani angalau kimshahara kiongozeke kutokana na majukumu kuwa mengi Bahati mbaya Mshahara wake umefika FIXED ..
Na njia Pekee ya kuongeza Mshahara ni Kusoma Na akisoma haichukui miaka mingi atafika kwa pesa anayotarajia..
Shida hana Qualification za kusoma hivyo anaugulia maumivu..
Plse nakuomba ukae chini Nenda karesit..
Ipi alofaulu nayo mkuu ?Hivi mtu akirisiti na akapata alama ya kujiunga na chuo baada ya kumaliza chuo akitafuta kazi kwenye kuandika cv yake ataandika shule alisoma ya no ya mtihani ya kwanza? au zote mbili?
Nazungumzia kuandika shule kwenye cv je unaweza kuweka za zote mbili ulizofanyia mtihani wa form iv au ni ile tu ya kwanza pekeeIpi alofaulu nayo mkuu ?
Na nafikiri Kwenye CV sijawahi kuona Kuna Sehemu ya kuandika namba ya Mtihani..
Na hata hivyo kwenye kuomba kzi siku hizi..
Naona wanaandika first sit and second sit kote unaweza ukajaza hizo namba