Nini nini adhabu ya jambo hili kisheria?

ciyou

Senior Member
Joined
Feb 6, 2023
Posts
125
Reaction score
194
Habar wana jukwaa,

Naomba kujuzwa au kupewa mawazo ya kisheria juu ya adhabu ambayo inaweza pewa hospital kwa kutumia vyeti na leseni ya mtu kwa kufoji mkataba na sign yake ili ionekane mtu yupo hapo kama full time worker.

Muhusika bila kujua chochote na pasina makubaliano yeyote mwisho wa siku anakuja kugundua kua vyeti vyake na leseni vinatumika hospital flani bila yeye kua na makubaliano nao.

Tayar muhusika ana ushahidi wote wa huo mkataba uliofojiwa na dodoso za mfumo wa kusajili wafanyakazi kutoka wizarani.

Huyu muhusika anaweza kuchkua hatua zipi kupata haki yake?

Naomba mawazo yenu wakuu na ushauri katika hili.

Natanguliza shukrani.
 
Kama unao ushahidi ambao hauna mashaka, basi keni chini mzungumze ili ulipwe fidia, ama ikishindikana fungua kesi ya madai ya kulipwa fidia.
 
Kama unao ushahidi ambao hauna mashaka, basi keni chini mzungumze ili ulipwe fidia, ama ikishindikana fungua kesi ya madai ya kulipwa fidia.
Asnte mkuu kwa ushauri
 
Kuna kosa la Jinai hapo naliona! Wapeleke police ili washitakiwe kwa makosa ya Kugushi!!
 
Chakufanya waandike barua ya demand letter kuwataka moja waache kutumia vyeti vyako

Mbili wakulipe gharama ya usumbufu kwa kuwa imeleta shida huko inapofanyia kazi

Tatu wakulipe fidia kwa kujiingizia kipato kupitia jina lako
Toa kazi hiyo
 
Hawa ndio tunaita walamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…