Nini nisifanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza?

Nini nisifanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza?

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
wana JF, ni mambo gani ambayo sipaswi kuyafanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza na totoz??
 
wana JF, ni mambo gani ambayo sipaswi kuyafanya nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza na totoz??
 
muhimu kuliko vyote ni kutoongea sana...
yaani bora muwe hakuna mnachozungumza kabisa kuliko kuongea sana mwisho
uongee utumbo....

wanawake wengi wanapenda wanaume wapole........ukiongea sana unaharibu..
jifanye hujui kuongea kabisa.

ikiwezekana mwache yeye azungumze.....
au nenda na rafiki yako mzungumzaji umuache achangamshe baraza
as long wewe ndo unae take care masuala ya expenses....
 
Usipige mtungi kupita maelezo! vaa smart ongea kwa mapozi, usiwe busy na vimeseji
 
Penda kumuita jina lake la kwanza, epuka kujishauwa mpenzi, darling etc....msifie nywele zake, kucha,meno, mwambie umependeza leo! viumbe hawa wanapenda sana kusifiwa hata kama huimanishi hivyo!
 
Penda kumuita jina lake la kwanza, epuka kujishauwa mpenzi, darling etc....msifie nywele zake, kucha,meno, mwambie umependeza leo! viumbe hawa wanapenda sana kusifiwa hata kama huimanishi hivyo!
mmmmh, well noted!
 
Usijisifie sifie ukapigwa mizinga/ncha kali ukarudi kuomba msaada.
 
Kujisifia na kuongea sana haitakiwi hapo utashusha P yako
 
Kujisifia na kuongea sana haitakiwi hapo utashusha P yako

Kujisifia kweli noma, ila kuongea inategemea n'tu na n'tu. Kuna ma-she wengine wanapenda stori kinoma! Kuna mmoja nilimpataga kwa sababu ya kuchonga sana.
 
Na jitahidi uwe wewe kama wewe, ukijishaua mtu wa matawi na yeye kama ana mtazamo hasi, atakukomesha mbele ya safari. Utauza mpaka suruali kumpendezesha!

Acha kujipaisha bila sababu, me this..me that...when I was in..., huhitaji kujinadi vitaonekana tu kama ni vya kuonekana.
 
thanks, lkn nitayajuaje asiyopenda kufanyiwa? kumbuka ndio first date!

ah sorry sikuwa clear, cha maana ni kuwa second fiddle siku hiyo ila usiwe kilaza. Ila mimi napendekeza pia usiende date na mtu usiyejua anapenda nini, maana mtakaa nervous, kununa hadi kuhari mood zenu... Kabla ya date lazma kuwe na ka-interest frani na kujuana kiasi
 
kujisifia kweli noma, ila kuongea inategemea n'tu na n'tu. Kuna ma-she wengine wanapenda stori kinoma! zd nilimpataga kwa sababu ya kuchonga sana.
point to note!:d
 
Na jitahidi uwe wewe kama wewe, ukijishaua mtu wa matawi na yeye kama ana mtazamo hasi, atakukomesha mbele ya safari. Utauza mpaka suruali kumpendezesha!

Acha kujipaisha bila sababu, me this..me that...when I was in..., huhitaji kujinadi vitaonekana tu kama ni vya kuonekana.
HIVI WEWE NI DINA HUYU HUYU NINAEMFAHAMU MIMI?ai mini dina-wa-makambako?S.O.P
 
Na jitahidi uwe wewe kama wewe, ukijishaua mtu wa matawi na yeye kama ana mtazamo hasi, atakukomesha mbele ya safari. Utauza mpaka suruali kumpendezesha!

Acha kujipaisha bila sababu, me this..me that...when I was in..., huhitaji kujinadi vitaonekana tu kama ni vya kuonekana.

Hahaaaa Dina, hii kali!!!

...yale when i was, just arrived, leaving soon... Kwikwikwii!!! Nimeipenda
 
Back
Top Bottom