Nini sababu/chanzo/lengo la kutumia ID/ avatar unayotumia hapa jukwaani?

Nini sababu/chanzo/lengo la kutumia ID/ avatar unayotumia hapa jukwaani?

Enter Passcode

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2024
Posts
479
Reaction score
942
Itifaki imezingatiwa,

Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes,

Baada ya kukuta na camera ya simu inamuhitaji code, alishindwa kujifotoa na kunipa jina zuri kama hili 👍🤣

Avatar; huyo ni mmarekani ‘joe dispenza ‘napenda mafundisho yake tu

Kwenu wakuu, tupe uzoefu juu ya id/avatar yako.

Mfano; proton pump, Joseverest, Eveln salt, Depal, to yeye, masai dada. etc..

Nawasilisha!
 
Yangu hio naipenda kwa sababu kwa nature ya maisha duniani ukienda sehemu ukikuta wana cultural aspects zao hebu ishi kufanana nao usije ukienda kinyume Chao ukaonekana wa hovyo.

When in Rome do as Romans do!.
 
Itifaki imezingatiwa,

Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes,

Baada ya kukuta na camera ya simu inamuhitaji code, alishindwa kujifotoa na kunipa jina zuri kama hili [emoji106][emoji1787]

Avatar; huyo ni mmarekani ‘joe dispenza ‘napenda mafundisho yake tu

Kwenu wakuu, tupe uzoefu juu ya id/avatar yako.

Mfano; proton pump, Joseverest, Eveln salt, Depal, to yeye, masai dada. etc..

Nawasilisha!
Kuna namna mkuu, majina binafsi, kitu apendacho mtu, moment alizopitia n.k
 
Back
Top Bottom