Nini sababu ya haja kubwa kutoa harufu kali?

tanje

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
251
Reaction score
41
Ni nini husababisha mtu akijisaidia haja KUBWA hutoa harufu kali lakini wakati huo huo mwingine akijisaidia haja KUBWA haitoi harufu!?
 
Ni nini husababisha mtu akijisaidia haja KUBWA hutoa harufu kali lakini wakati huo huo mwingine akijisaidia haja KUBWA haitoi harufu!?

inasababishwa na mambo mengi, ikiwemo "malabsorption" pale ambapo mtu hawezi kufanya absorption of materials.. pia kuna utofauti katika kufanya absorption ya nutrients kama vitamins,amino acids,fatty ,sugars etc..so content ya feaces ita tofautiana kati ya mtu na mtu.pia hata smell itakua na tofauti
 
ASANTENI WAKUU HII MADA IMENISAIDIA juu ya INI->JF Doctor Topic: Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake Nimrod.tz Raelish
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…