Nini sababu ya hii msaada please.

Namour

Senior Member
Joined
May 27, 2011
Posts
183
Reaction score
59
Kuna tatizo kama msichana/mwanamke akipata siku zake(hedhi) kwa wiki nzima isivyo kawaida kuna dawa ya kuisitisha na nini sababu?
 
TIBA YA HEDHI INAYOTOKA KWA WINGI
ZAIDI YA ADA:


Kanuni ya kwanza:
Chukua kijiko kimoja cha maua ya Babunaji kwa lugha ya kiingereza inaitwa
(Chamomile) ukoroge ndani ya kikombe kimoja
cha maji ya moto. Yakishapoa, unywe kikombe
kimoja kutwa mara tatu kabla ya kula.kwa muda wa siku 3 au siku 7 Mfululizo.

Kanuni ya pili:
Chukua zaatar kijiko kimoja kikubwa cha chakula
ukoroge ndani ya kikombe kimoja cha maji ya
moto. Kunywa kikombe cha chai kutwa mara tatu kwa muda wa siku 3 au siku 7.Mfululizo.

Jaribu dawa zangu kisha unipe feedback.@Namour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…